Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 19:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Akaenda Nikodemo nae, yule aliyemwendea usiku hapo kwanza, akaleta machanganyiko ya manemane na uudi, yapata ratli mia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Naye Nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea Yesu usiku, akaja akiwa amechukua mchanganyiko wa manemane na ubani kiasi cha kilo thelathini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Naye Nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea Yesu usiku, akaja akiwa amechukua mchanganyiko wa manemane na ubani kiasi cha kilo thelathini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Naye Nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea Yesu usiku, akaja akiwa amechukua mchanganyiko wa manemane na ubani kiasi cha kilo thelathini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Naye Nikodemo, yule ambaye kwanza alimwendea Isa usiku, akaja, akaleta mchanganyiko wa manemane na manukato, yenye uzito wa zaidi ya kilo thelathini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Naye Nikodemo, yule ambaye kwanza alimwendea Isa usiku, akaja, akaleta mchanganyiko wa manemane na manukato, yenye uzito wa zaidi ya kilo thelathini

Tazama sura Nakili




Yohana 19:39
15 Marejeleo ya Msalaba  

Mwanzi uliopondeka hatauvunja, Wala kitani kitokacho moshi hatakizima, Hatta aletapo hukumu yake ikashinda.


Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho, wa kwanza.


Wakaingia nyumbani, wakamwona mtoto pamoja na Mariamu mama yake, wakaanguka wakasujudu; nao walipokwisha kufungua hazina zao, wakamtolea tumi, dhahabu, uvumba, na manemane.


HATTA sabato ilipokwisha kupita, Mariamu Magdalene na Mariamu wa Yakobo na Salome walinunua manukato wapate kwenda kumpaka.


Bassi Mariamu akatwaa ratli ya marhamu ya nardo safi ya thamani nyingi, akampaka Yesu miguu, akaifuta miguu yake kwa nywele zake; nyumha ikajaa harufu ya yale marhamu.


Bassi Yesu alisema, Mwache, ameyaweka haya kwa siku ya maziko yangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo