Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 19:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Walipomjia Yesu, wakiona ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Lakini walipomfikia Yesu, waliona kwamba alikwisha kufa, kwa hivyo hawakumvunja miguu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Lakini walipomfikia Yesu, waliona kwamba alikwisha kufa, kwa hivyo hawakumvunja miguu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Lakini walipomfikia Yesu, waliona kwamba alikwisha kufa, kwa hivyo hawakumvunja miguu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Lakini walipomkaribia Isa, wakaona ya kuwa amekwisha kufa, hivyo hawakuvunja miguu yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Lakini walipomkaribia Isa, wakaona ya kuwa amekwisha kufa, hivyo hawakuvunja miguu yake.

Tazama sura Nakili

Yohana 19:33
6 Marejeleo ya Msalaba  

Wakamcheka sana, wakijua ya kuwa amekwisha kufa.

Bassi askari wakaenda, wakamvunja miguu wa kwanza, na wa pili aliyesulibiwa pamoja nae.

lakini askari mmoja kwa mkuki alimchoma ubavu, ikatoka marra damu na maji.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo