Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 19:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 wakisema, Salamu, Mfalme wa Wayahudi! wakimpiga makofi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Wakawa wanakuja mbele yake na kusema: “Shikamoo, Mfalme wa Wayahudi!” Wakampiga makofi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Wakawa wanakuja mbele yake na kusema: “Shikamoo, Mfalme wa Wayahudi!” Wakampiga makofi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Wakawa wanakuja mbele yake na kusema: “Shikamoo, Mfalme wa Wayahudi!” Wakampiga makofi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Wakawa wanapanda pale alipo tena na tena, wakisema, “Salamu, mfalme wa Wayahudi!” Huku wakimpiga makofi usoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Wakawa wanapanda pale alipo tena na tena, wakisema, “Salamu! Mfalme wa Wayahudi!” Huku wakimpiga makofi usoni.

Tazama sura Nakili




Yohana 19:3
7 Marejeleo ya Msalaba  

Marra akamwendea Yesu, akasema, Salam, Rabbi, akambusu sana.


Wakasokota taji ya miiba, wakaiweka juu ya kichwa chake, na unyasi katika mkono wake wa kuume; wakapiga magoti mbele yake, wakamfanyizia dhihaka, wakinena, Salamu, Mfalme wa Wayahudi!


wakaanza kumsalimu, Salamu Mfalme wa Wayahudi!


Akaja kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.


Aliposema maneno haya, mmoja wa wale watumishi aliyesimama karibu akampiga Yesu koli, akinena, Wamjibu hivi kuhani mkuu?


Bassi Pilato akaingia Praitorio tena, akamwita Yesu, akamwambia, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo