Yohana 19:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192129 Kikawako chombo kimejaa siki; bassi wakatia sifongo iliyojaa siki juu ya husopo, wakampelekea kinywani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Hapo palikuwa na bakuli limejaa siki. Basi, wakachovya sifongo katika hiyo siki, wakaitia juu ya ufito wa husopo, wakamwekea mdomoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Hapo palikuwa na bakuli limejaa siki. Basi, wakachovya sifongo katika hiyo siki, wakaitia juu ya ufito wa husopo, wakamwekea mdomoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Hapo palikuwa na bakuli limejaa siki. Basi, wakachovya sifongo katika hiyo siki, wakaitia juu ya ufito wa husopo, wakamwekea mdomoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Hapo palikuwa na bakuli lililojaa siki. Kwa hiyo wakachovya sifongo kwenye hiyo siki, wakaiweka kwenye ufito wa mti wa hisopo, wakampelekea mdomoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Hapo palikuwa na bakuli lililojaa siki. Kwa hiyo wakachovya sifongo kwenye hiyo siki, wakaiweka kwenye ufito wa mti wa hisopo, wakampelekea mdomoni. Tazama sura |