Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 19:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Baadae akamwambia mwanafunzi, Tazama, mama yako. Na tangu saa ile mwanafunzi yule akamchukua kwake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Halafu akamwambia yule mwanafunzi, “Tazama, huyo ndiye mama yako.” Na tangu saa ile huyo mwanafunzi alimchukua akae nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Halafu akamwambia yule mwanafunzi, “Tazama, huyo ndiye mama yako.” Na tangu saa ile huyo mwanafunzi alimchukua akae nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Halafu akamwambia yule mwanafunzi, “Tazama, huyo ndiye mama yako.” Na tangu saa ile huyo mwanafunzi alimchukua akae nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Kisha akamwambia yule mwanafunzi, “Nawe huyu hapa ndiye mama yako.” Tangu wakati huo yule mwanafunzi akamchukua mama yake Isa nyumbani mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 kisha akamwambia yule mwanafunzi, “Nawe huyo hapo ndiye mama yako.” Tangu wakati huo yule mwanafunzi akamchukua mama yake Isa nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili




Yohana 19:27
11 Marejeleo ya Msalaba  

Na mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambieni. Kadiri mlivyomtendea mmojawapo katika hawo ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.


Akawatazama wale walioketi wakimzunguka pande zote, akanena, Tazama, Mama yangu na ndugu zangu.


Petro akasema, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe.


Alikuja kwake, nao walio wake hawakumpokea.


Saa inakuja, naam, imekwisha kuja, mtatawanyika killa mmoja kwa mambo yake, mtaniacha mimi peke yangu; wala mimi si peke yangu, kwa kuwa Baba yupo pamoja nami.


na baada ya kuagana tukapanda merikebuni, nao wakarudi kwao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo