Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 19:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Na penye msalaba wake Yesu wamesimama mama yake, na ndugu ya mama yake, Mariamu wa Klopa, na Mariamu Magdalene.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Karibu na msalaba wake Yesu walikuwa wamesimama mama yake, na dada ya mama yake, Maria mke wa Kleopa, na Maria Magdalene.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Karibu na msalaba wake Yesu walikuwa wamesimama mama yake, na dada ya mama yake, Maria mke wa Kleopa, na Maria Magdalene.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Karibu na msalaba wake Yesu walikuwa wamesimama mama yake, na dada ya mama yake, Maria mke wa Kleopa, na Maria Magdalene.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Karibu na msalaba wa Isa walikuwa wamesimama mama yake, na dada wa mamaye, na Mariamu mke wa Klopa, na Mariamu Magdalene.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Wakati huo huo karibu na msalaba wa Isa walikuwa wamesimama mama yake, na dada wa mamaye, na Maria mke wa Klopa, na Maria Magdalene.

Tazama sura Nakili




Yohana 19:25
10 Marejeleo ya Msalaba  

Alipokuwa katika kusema na makutano, mama yake na ndugu zake walikuwa wakisimama nje, wakitaka kusema nae.


Alipofufuka Yesu assubuhi siku ya kwanza ya sabato alimtokea kwanza Mariamu Magdalene, ambae kwamba alimtoa pepo saba.


hatta na wewe upanga utakupenya roho yako; illi yafumike mawazo ya mioyo mingi.


Marafiki zake wote wakasimama kwa mbali, nao wanawake waliofuatana nae toka Galilaya, wakiangalia haya,


Akajibu mmoja wao, jina lake Kleopa, akamwambia, Je! wewe peke yako u mgeni katika Yerusalemi, usiyajue yaliyokuwa ndani yake siku hizi?


na wanawake kadha wa kadha waliokuwa wameponywa pepo wabaya na magonjwa, Mariamu aliyeitwa Magdalene, aliyetokwa na pepo saba,


HATTA siku ya kwanza ya sabato Mariamu Magdalene akaenda kaburini alfajiri, kungali giza bado, akaliona jiwe limeondolewa kaburini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo