Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 19:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Bassi askari, walipomsulibisha Yesu, wakatwaa mavazi yake, wakafanya mafungu mane, kwa killa askari fungu lake; nayo kanzu: na kanzu ile haikushonwa, imefumwa pia tangu juu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Askari walipokwisha msulubisha Yesu, walizichukua nguo zake, wakazigawa mafungu manne, fungu moja kwa kila askari. Walichukua pia na kanzu yake; kanzu hiyo ilikuwa imefumwa kwa kipande kimoja tu, bila mshono.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Askari walipokwisha msulubisha Yesu, walizichukua nguo zake, wakazigawa mafungu manne, fungu moja kwa kila askari. Walichukua pia na kanzu yake; kanzu hiyo ilikuwa imefumwa kwa kipande kimoja tu, bila mshono.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Askari walipokwisha msulubisha Yesu, walizichukua nguo zake, wakazigawa mafungu manne, fungu moja kwa kila askari. Walichukua pia na kanzu yake; kanzu hiyo ilikuwa imefumwa kwa kipande kimoja tu, bila mshono.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Askari walipokwisha kumsulubisha Isa, walichukua nguo zake wakazigawa mafungu manne, kila askari fungu lake. Ila walikubaliana wasilichane lile vazi lake kwa maana lilikuwa halina mshono, bali limefumwa tangu juu hadi chini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Askari walipokwisha kumsulubisha Isa, walichukua nguo zake wakazigawa mafungu manne, kila askari fungu lake. Ila walikubaliana wasilichane lile vazi lake kwa maana lilikuwa halina mshono bali limefumwa tangu juu hadi chini.

Tazama sura Nakili

Yohana 19:23
6 Marejeleo ya Msalaba  

Walipokwisha kumsulibi, wakagawa nguo zake, wakipiga kura: illi litimie neno lililonenwa na nabii. Waligawa nguo zangu kati yao, na juu ya vazi langu walipiga kura.

Wakamsulibi, wakagawanya nguo zake wakizipigia kura killa mtu atwae nini.

Yesu akasema, Baba, uwasamehe, kwa maana hawajui watendalo. Wakagawanya nguo zake, wakipiga kura.

Alipokwisha kumkamata, akamweka gerezani akamtia mikononi mwa askari wanewane, wamlinde, akitaka baada ya Pasaka kumtoa mbele ya watu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo