Yohana 19:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 Askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika vazi jekundu; wakawa wakimwendea, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika na joho la rangi ya zambarau. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika na joho la rangi ya zambarau. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika na joho la rangi ya zambarau. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Askari wakasokota taji la miiba, wakamvika Isa kichwani. Wakamvalisha joho la zambarau. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Askari wakasokota taji ya miiba, wakamvika Isa kichwani. Wakamvalisha joho la zambarau. Tazama sura |