Yohana 19:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 Bassi ndipo akamtia mikononi mwao asulibishwe. Bassi wakampokea Yesu: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Hapo, Pilato akamtia Yesu mikononi mwao ili asulubiwe. Basi, wakamchukua Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Hapo, Pilato akamtia Yesu mikononi mwao ili asulubiwe. Basi, wakamchukua Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Hapo, Pilato akamtia Yesu mikononi mwao ili asulubiwe. Basi, wakamchukua Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Ndipo Pilato akamkabidhi Isa kwao ili wamsulubishe. Kwa hiyo askari wakamchukua Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Ndipo Pilato akamkabidhi Isa kwao ili wamsulubishe. Kwa hiyo askari wakamchukua Isa. Tazama sura |