Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 19:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Bassi wale wakapiga kelele, Mwondoshe, mwondoshe, msulibishe. Pilato akawaambia, Nimsulibishe mfalme wenu? Makuhani wakuu wakajibu, Hatuna mfalme illa Kaisari.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Wao wakapaza sauti: “Mwondoe! Mwondoe! Msulubishe!” Pilato akawauliza, “Je, nimsulubishe Mfalme wenu?” Makuhani wakuu wakajibu, “Sisi hatuna mfalme isipokuwa Kaisari!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Wao wakapaza sauti: “Mwondoe! Mwondoe! Msulubishe!” Pilato akawauliza, “Je, nimsulubishe Mfalme wenu?” Makuhani wakuu wakajibu, “Sisi hatuna mfalme isipokuwa Kaisari!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Wao wakapaza sauti: “Mwondoe! Mwondoe! Msulubishe!” Pilato akawauliza, “Je, nimsulubishe Mfalme wenu?” Makuhani wakuu wakajibu, “Sisi hatuna mfalme isipokuwa Kaisari!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Wao wakapiga kelele, “Mwondoe! Mwondoe! Msulubishe!” Pilato akawauliza, “Je, nimsulubishe mfalme wenu?” Wale viongozi wa makuhani wakamjibu, “Sisi hatuna mfalme mwingine ila Kaisari.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Wao wakapiga kelele, “Mwondoe! Mwondoe! Msulubishe!” Pilato akawauliza, “Je, nimsulubishe mfalme wenu?” Wale viongozi wa makuhani wakamjibu, “Sisi hatuna mfalme mwingine ila Kaisari.”

Tazama sura Nakili

Yohana 19:15
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi utuambie, Waonaje? Ni halali kumpa Kaisari kodi, au si halali?

Wakapiga kelele wote pamoja, wakisema, Mchukue huyu, tufungulie Barabba.

Bassi Pilato akawaambia, Mtwaeni ninyi, mkamhukumu kwa sharia yenu. Wayahudi wakamwambia, Sisi hatuna rukhusa kuua mtu;

Bassi wale makuhani wakuu na watumishi walipomwona, wakapiga kelele, wakisema, Msulibishe, msulibishe. Pilato akawaambia, Mtwaeni ninyi, kamsulibisheni: kwa maana mimi sioni khatiya kwake.

Na wasipopata sababu ya kumfisha wakamwomba Pilato auawe.

Maana kundi kubwa la watu wakamfuata, wakipiga kelele, Mwondoe huyu.

Wakamsikiliza mpaka neno lile, wakapaaza sauti zao, wakisema, Mwondoe huyu katika inchi, kwa maana haifai aishi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo