Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 19:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Ilikuwa Maandalio ya Pasaka: ilikuwa panapo saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, mfalme wenu!

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Ilikuwa yapata saa sita mchana, siku ya maandalio ya Pasaka. Pilato akawaambia Wayahudi, “Tazameni, Mfalme wenu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Ilikuwa yapata saa sita mchana, siku ya maandalio ya Pasaka. Pilato akawaambia Wayahudi, “Tazameni, Mfalme wenu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Ilikuwa yapata saa sita mchana, siku ya maandalio ya Pasaka. Pilato akawaambia Wayahudi, “Tazameni, Mfalme wenu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Basi ilikuwa siku ya Maandalio ya Pasaka, yapata kama saa sita hivi. Pilato akawaambia Wayahudi, “Huyu hapa mfalme wenu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Basi ilikuwa siku ya Maandalio ya Pasaka, yapata kama saa sita hivi. Pilato akawaambia Wayahudi, “Huyu hapa mfalme wenu!”

Tazama sura Nakili

Yohana 19:14
12 Marejeleo ya Msalaba  

Tangu saa sita palikuwa giza juu ya inchi yote hatta saa tissa.

Hatta siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, makuhani wakuu na Mafarisayo wakamkusanyikia Pilato,

Ikawa saa tatu wakamsulibi.

Hatta ikiisba kuwa jioni, kwa sababu ni Maandalio, ndiyo siku iliyo kabla ya sabato,

Ikapata kama saa a sita, pakawa giza juu ya inchi yote hatta saa a tissa,

Ilikuwa siku ya Maandalio, sabato ikawadia.

wakisema, Salamu, Mfalme wa Wayahudi! wakimpiga makofi.

Humo bassi, kwa sababu ya Maandalio ya Wayahudi, wakamweka Yesu; maana lile kaburi lilikuwa karibu.

Bassi Yesu akatoka nje, amevaa ile taji ya miiba, na lile vazi jekundu. Pilato akawaambia, Tazama, Mtu huyu!

Tufuate:

Matangazo

Matangazo