Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 19:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Bassi Pilato, aliposikia maneno haya, akamleta Yesu nje, akaketi juu ya kiti, mahali paitwapo Sakafu ya mawe, na kwa Kiebrania Gabbatha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Basi, Pilato aliposikia maneno hayo akamleta Yesu nje, akaketi juu ya kiti cha hukumu, mahali paitwapo “Sakafu ya Mawe” (kwa Kiebrania, Gabatha).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Basi, Pilato aliposikia maneno hayo akamleta Yesu nje, akaketi juu ya kiti cha hukumu, mahali paitwapo “Sakafu ya Mawe” (kwa Kiebrania, Gabatha).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Basi, Pilato aliposikia maneno hayo akamleta Yesu nje, akaketi juu ya kiti cha hukumu, mahali paitwapo “Sakafu ya Mawe” (kwa Kiebrania, Gabatha).

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Pilato aliposikia maneno haya, akamtoa Isa nje tena. Akaketi kwenye kiti chake cha hukumu, mahali palipoitwa Sakafu ya Jiwe (kwa Kiebrania ni Gabatha).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Pilato aliposikia maneno haya akamtoa Isa nje tena akaketi katika kiti chake cha hukumu, mahali palipoitwa Sakafu ya Jiwe (kwa Kiebrania paliitwa Gabatha).

Tazama sura Nakili




Yohana 19:13
16 Marejeleo ya Msalaba  

Na alipokuwa ameketi juu ya kiti cha hukumu, mkewe alimpelekea mjumbe, kumwambia, Usiwe na neno na yule mwenye haki: kwa sababu nimeteswa mengi leo katika udoto kwa ajili yake.


Illa nitawaonya mtakaemwogopa: Mwogopeni yule aliye na uweza baada ya kuua mtu kumtupa katika Jehannum: naam, nawaambieni, Mwogopeni yule.


akatoka, akijichukulia msalaba wake, hatta mahali paitwapo pa kichwa, na kwa Kiebrania Golgotha;


Bassi anwani hiyo waliisoma wengi katika Wayahudi; maana mahali paie aliposulihiwa Yesu palikuwa karibu na mji; nayo iliandikwa kwa Kiebrania, na Kirumi, na Kiyunani.


Bassi Pilato aliposikia neno hilo, akazidi kuogopa;


Na huko Yerusalemi penye mlango wa kondoo pana birika, iitwayo kwa Kiehrania Bethesda, nayo ina matao matano.


Petro na Yohana wakawajibu wakawaambia,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo