Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 19:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Tangu hapo Pilato akatafuta kumfungua; lakini Wayahudi wakapiga makelele wakisema, Ukimfungua huyu, wewe si mpenda Kaisari; killa ajifanyae kuwa mfalme amfitini Kaisari.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Tangu hapo, Pilato akawa anatafuta njia ya kumwachilia, lakini Wayahudi wakapiga kelele: “Ukimwachilia huyu mtu, wewe si rafiki yake Kaisari; kila mtu anayejifanya kuwa mfalme humpinga Kaisari!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Tangu hapo, Pilato akawa anatafuta njia ya kumwachilia, lakini Wayahudi wakapiga kelele: “Ukimwachilia huyu mtu, wewe si rafiki yake Kaisari; kila mtu anayejifanya kuwa mfalme humpinga Kaisari!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Tangu hapo, Pilato akawa anatafuta njia ya kumwachilia, lakini Wayahudi wakapiga kelele: “Ukimwachilia huyu mtu, wewe si rafiki yake Kaisari; kila mtu anayejifanya kuwa mfalme humpinga Kaisari!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Tangu wakati huo, Pilato akajitahidi kutafuta njia ya kumfungua Isa, lakini viongozi wa Wayahudi wakazidi kupiga kelele wakisema, “Ukimwachia huyu mtu, wewe si rafiki wa Kaisari. Mtu yeyote anayedai kuwa mfalme anampinga Kaisari.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Tangu wakati huo, Pilato akajitahidi kutafuta njia ya kumfungua Isa, lakini Wayahudi wakazidi kupiga kelele wakisema, “Ukimwachia huyu mtu, wewe si rafiki wa Kaisari. Mtu yeyote anayedai kuwa mfalme anampinga Kaisari.”

Tazama sura Nakili

Yohana 19:12
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi utuambie, Waonaje? Ni halali kumpa Kaisari kodi, au si halali?

Pilato akajihu, Niliyoandika nimeyaandika.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo