Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 19:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Bassi Pilato akamwambia, Husemi na mimi? Hujui ya kuwa nina mamlaka ya kukusulibisha na nina mamlaka ya kukufungua?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Hivyo Pilato akamwambia, “Husemi nami? Je, hujui kwamba ninayo mamlaka ya kukufungua na mamlaka ya kukusulubisha?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Hivyo Pilato akamwambia, “Husemi nami? Je, hujui kwamba ninayo mamlaka ya kukufungua na mamlaka ya kukusulubisha?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Hivyo Pilato akamwambia, “Husemi nami? Je, hujui kwamba ninayo mamlaka ya kukufungua na mamlaka ya kukusulubisha?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Pilato akamwambia, “Wewe unakataa kuongea na mimi? Hujui ya kuwa nina mamlaka ya kukuachia huru au kukusulubisha?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Pilato akamwambia, “Wewe unakataa kuongea na mimi? Hujui ya kuwa nina mamlaka ya kukuachia huru au kukusulubisha?”

Tazama sura Nakili

Yohana 19:10
5 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini kwenu kuna desturi, ya mimi kuwafungulia mtu mmoja wakati wa Pasaka: bassi, wapenda niwafungulie mfalme wa Wayahudi?

Yesu akamjibu, Usingekuwa na mamlaka yo yote, kama usingepewa toka juu: kwa sababu hii yeye aliyenitia mikononi mwako yuna dhambi iliyo kubwa zaidi.

akaingia tena Praitorio, akamwamhia Yesu, Umetoka wapi wewe? Lakini Yesu hakumpa jibu lo lote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo