Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 19:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 BASSI ndipo Pilato akamtwaa Yesu, akampiga mijeledi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Basi, Pilato akaamuru Yesu achukuliwe, apigwe viboko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Basi, Pilato akaamuru Yesu achukuliwe, apigwe viboko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Basi, Pilato akaamuru Yesu achukuliwe, apigwe viboko.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Ndipo Pilato akamtoa Isa akaamuru apigwe mijeledi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Ndipo Pilato akamtoa Isa akaamuru apigwe mijeledi.

Tazama sura Nakili




Yohana 19:1
16 Marejeleo ya Msalaba  

na watampeleka kwa Mataifa wapate kumdhihaki, na kumpiga mijeledi, na kumsulibi; na siku ya tatu atafufuka.


Kwa sababu hii, angalieni, mimi natuma kwenu manabii na wenye hekima na waandishi: na wengine wao mtawaua na mtawasulibi, na wengine wao mtawapiga katika sunagogi zenu, na mtawafukuza mji kwa mji;


na wakiisha kumpiga mijeledi, watamwua; na siku ya tatu atafufuka.


Bassi nikiisha kumrudi, nitamfungua.


Lakini wakakaza kusema kwa santi kuu, wakitaka asulibiwe; zikashinda sauti zao na za makuhani wakuu.


Kwa Wayahudi marra tano nalipata mapigo arubaini kasoro moja.


wengine walijaribiwa kwa dhihaka na mapigo, naam, kwa mafungo, na kwa kutiwa gerezani:


yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, illi, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe bayi kwa mambo ya haki; kwa kuchubuka kwake mliponywa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo