Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 18:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 illi litimizwe lile neno alilolisema, Hawa ulionipa sikupoteza hatta mmoja wao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Alisema hayo ili yapate kutimia yale aliyosema: “Wale ulionipa sikumpoteza hata mmoja.”)

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Alisema hayo ili yapate kutimia yale aliyosema: “Wale ulionipa sikumpoteza hata mmoja.”)

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Alisema hayo ili yapate kutimia yale aliyosema: “Wale ulionipa sikumpoteza hata mmoja.”)

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Hii ilikuwa ili litimie lile neno alilosema, “Sikumpoteza hata mmoja miongoni mwa wale ulionipa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Hii ilikuwa ili litimie lile neno alilosema, “Sikumpoteza hata mmoja miongoni mwa wale ulionipa.”

Tazama sura Nakili

Yohana 18:9
3 Marejeleo ya Msalaba  

Nilipokuwa pamoja nao ulimwenguni, mimi naliwalinda kwa jina lako: wale ulionipa naliwatunza, wala hapana mmojawapo wao aliyepotea, illa yule mwana wa upotevu maandiko yapate kutimizwa.

Yesu akajibu, Nimekwisha kuwaambieni kwaniba mimi ndiye; bassi mkinitafuta mimi, waacheni hawa waende zao;

Na mapenzi yake Baba aliyenipeleka ni haya, ya kwamba katika vyote alivyonipa nisipoteze kitu hatta kimoja, hali nikifufue siku ya mwisho.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo