Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 18:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Yesu akajibu, Nimekwisha kuwaambieni kwaniba mimi ndiye; bassi mkinitafuta mimi, waacheni hawa waende zao;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Yesu akawaambia, “Nimekwisha waambieni kwamba mimi ndiye. Basi, kama mnanitafuta mimi, waacheni hawa waende zao.” (

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Yesu akawaambia, “Nimekwisha waambieni kwamba mimi ndiye. Basi, kama mnanitafuta mimi, waacheni hawa waende zao.” (

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Yesu akawaambia, “Nimekwisha waambieni kwamba mimi ndiye. Basi, kama mnanitafuta mimi, waacheni hawa waende zao.” (

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Isa akawaambia, “Nimekwisha kuwaambia kuwa mimi ndiye; kwa hiyo kama mnanitafuta mimi, waacheni hawa watu waende zao.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Isa akawaambia, “Nimekwisha kuwaambia kuwa, mimi ndiye; kwa hiyo kama mnanitafuta mimi, waacheni hawa watu waende zao.”

Tazama sura Nakili




Yohana 18:8
13 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini jambo hili lote limekuwa, illi maandiko ya manabii yatimizwe. Ndipo wanafunzi wake wote wakamwacha, wakakimbia.


nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe, wala hakuna mtu atakaewapokonya katika mkono wangu.


HATTA kabla ya siku kuu ya Pasaka, Yesu akijua ya kuwa saa yake imefika atakayotoka katika ulimwengu huu kwenda kwa Baba, akiwa aliwapenda watu wake katika ulimwengu, aliwapeuda ukomo wa upendo.


Simon Petro akamwambia, Bwana, unakwenda wapi? Yesu akamjibu, Niendako, huwezi kunifuata sasa; lakini utanifuata baadae.


Saa inakuja, naam, imekwisha kuja, mtatawanyika killa mmoja kwa mambo yake, mtaniacha mimi peke yangu; wala mimi si peke yangu, kwa kuwa Baba yupo pamoja nami.


Bassi akawauliza marra ya pili, Mnamtafuta nani? Wakasema, Yesu Mnazareti.


illi litimizwe lile neno alilolisema, Hawa ulionipa sikupoteza hatta mmoja wao.


Jaribu halikuwapata ninyi, illa ya kadiri ya kibinadamu; na Mungu yu amini; hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, illi mweze kustahimili.


Akaniambia, Neema yangu yakutosha; maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu. Bassi nitajisifia udhaifu wangu kwa furaha nyingi, illi uweza wa Kristo ukae juu yangu.


Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake,


mkimtwika yeye taabu zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana katika mambo yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo