Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 18:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Bassi akawauliza marra ya pili, Mnamtafuta nani? Wakasema, Yesu Mnazareti.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Yesu akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Wakamjibu, “Yesu Mnazareti!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Yesu akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Wakamjibu, “Yesu Mnazareti!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Yesu akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Wakamjibu, “Yesu Mnazareti!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Nao wakamjibu, “Isa Al-Nasiri.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Nao wakamjibu, “Isa Al-Nasiri.”

Tazama sura Nakili

Yohana 18:7
4 Marejeleo ya Msalaba  

akaenda, akakaa mji uliokwitwa Nazareti: illi litimie neno lililonenwa na manabii, Atakwitwa Mnazorayo.

Bassi Yesu, akijua yote yatakayompata, akatokea, akawaambia, Mnamtafuta nani? Wakamjibu, Yesu Mnazareti.

Bassi alipowaambia. Mimi ndiye, walirudi nyuma, wakaanguka chini.

Yesu akajibu, Nimekwisha kuwaambieni kwaniba mimi ndiye; bassi mkinitafuta mimi, waacheni hawa waende zao;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo