Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 18:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Yesu akawaambia, Mimi ndiye. Yuda nae aliyemsaiiti alikuwa akisimama pamoja nao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Nao wakamjibu, “Yesu Mnazareti!” Yesu akawaambia, “Mimi ndiye.” Msaliti Yuda alikuwa amesimama hapo pamoja nao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Nao wakamjibu, “Yesu Mnazareti!” Yesu akawaambia, “Mimi ndiye.” Msaliti Yuda alikuwa amesimama hapo pamoja nao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Nao wakamjibu, “Yesu Mnazareti!” Yesu akawaambia, “Mimi ndiye.” Msaliti Yuda alikuwa amesimama hapo pamoja nao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Wao wakamjibu, “Isa Al-Nasiri.” Isa akawajibu, “Mimi ndiye.” (Yuda, aliyemsaliti, alikuwa amesimama pamoja nao.)

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Wao wakamjibu, “Isa Al-Nasiri.” Isa akawajibu, “Mimi ndiye.” Yuda, yule aliyemsaliti alikuwa amesimama pamoja nao.

Tazama sura Nakili




Yohana 18:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

akaenda, akakaa mji uliokwitwa Nazareti: illi litimie neno lililonenwa na manabii, Atakwitwa Mnazorayo.


Makutano wakanena, Huyu ni Yesu, yule nabii wa Nazareti ya Galilaya.


Nathanaeli akamwambia, Chaweza kitu chema kutoka Nazareti? Filipo akamwambia, Njoo uone.


Bassi Yesu, akijua yote yatakayompata, akatokea, akawaambia, Mnamtafuta nani? Wakamjibu, Yesu Mnazareti.


Bassi alipowaambia. Mimi ndiye, walirudi nyuma, wakaanguka chini.


Pilato akaandika anwani, akaiweka juu ya msalaba, imeandikwa, YESU MNAZARETI, MFALME WA WAYAHUDI.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo