Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 18:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Bassi wakapiga kelele marra ya pili, wote pia, wakinena, Si huyu, bali Barabba. Nae Barabba alikuwa mnyangʼanyi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Hapo wakapiga kelele: “La! Si huyu ila Baraba!” Naye Baraba alikuwa mnyanganyi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Hapo wakapiga kelele: “La! Si huyu ila Baraba!” Naye Baraba alikuwa mnyanganyi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Hapo wakapiga kelele: “La! Si huyu ila Baraba!” Naye Baraba alikuwa mnyang'anyi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Wao wakapiga kelele, wakajibu, “Si huyu mtu, bali tufungulie Baraba!” Yule Baraba alikuwa mnyang’anyi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Wao wakapiga kelele wakisema, “Si huyu mtu, bali tufungulie Baraba!” Yule Baraba alikuwa mnyang’anyi.

Tazama sura Nakili




Yohana 18:40
8 Marejeleo ya Msalaba  

Saa ile Yesu akawaambia makutano, Je, mmetoka, mfano wa watu wafukuzao mnyangʼanyi mna panga na marungu, kunitwaa? Killa siku naliketi mbele zenu hekaluni, nikifundisha, wala hamkunikamata.


Bassi walikuwa na mfungwa mashuhuri siku zile, jina lake Barabba.


Ndipo akawafungulia Barabba: na alipokwisha kumpiga Yesu mijeledi, akamtoa apate kusulibiwa.


Pilato akapenda kuwafanyia radhi makutano, akawafungulia Barabba: akamtoa Yesu, baada ya kumpiga mijeledi, asulibiwe.


Palikuwa na mtu aitwae Barabba, amefungwa pamoja na watu waliofanya fitina na kufanya uuaji katika fitina.


Akamfungua yeye aliyetiwa gerezani kwa fitina na uuaji, waliyemtaka: akatoa Yesu kwa mapenzi yao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo