Yohana 18:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192139 Lakini kwenu kuna desturi, ya mimi kuwafungulia mtu mmoja wakati wa Pasaka: bassi, wapenda niwafungulie mfalme wa Wayahudi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Lakini, mnayo desturi kwamba mimi niwafungulie mfungwa mmoja wakati wa Pasaka. Basi, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Lakini, mnayo desturi kwamba mimi niwafungulie mfungwa mmoja wakati wa Pasaka. Basi, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Lakini, mnayo desturi kwamba mimi niwafungulie mfungwa mmoja wakati wa Pasaka. Basi, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Lakini ninyi mna desturi yenu kwamba wakati wa Pasaka nimwachie huru mfungwa mmoja mnayemtaka. Je, mnataka niwafungulie huyu ‘mfalme wa Wayahudi’?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Lakini ninyi mna desturi yenu kwamba wakati wa Pasaka nimwachie huru mfungwa mmoja mnayemtaka. Je, mnataka niwafungulie huyu ‘Mfalme wa Wayahudi’?” Tazama sura |