Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 18:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Yesu akajibu, Wewe wasema hivi kwa nafsi yako, ama watu wengine walikuambia khabari zangu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Yesu akamjibu, “Je, hayo ni maneno yako au wengine wamekuambia habari zangu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Yesu akamjibu, “Je, hayo ni maneno yako au wengine wamekuambia habari zangu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Yesu akamjibu, “Je, hayo ni maneno yako au wengine wamekuambia habari zangu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Isa akamjibu, “Je, unauliza swali hili kutokana na mawazo yako mwenyewe, au uliambiwa na watu kunihusu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Isa akamjibu, “Je, unauliza swali hili kutokana na mawazo yako mwenyewe, au uliambiwa na watu kunihusu mimi?”

Tazama sura Nakili




Yohana 18:34
3 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi Pilato akaingia Praitorio tena, akamwita Yesu, akamwambia, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi?


Pilato akajibu, Je! mimi Myahudi? Taifa lako na makuhani wakuu ndio waliokuleta kwangu. Umefanya nini?


akaingia tena Praitorio, akamwamhia Yesu, Umetoka wapi wewe? Lakini Yesu hakumpa jibu lo lote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo