Yohana 18:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 Wakajibu, wakamwambia, Kama huyu asingekuwa mtu mwovu, tusingemleta kwako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Wakamjibu, “Kama huyu hangalikuwa mwovu hatungalimleta kwako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Wakamjibu, “Kama huyu hangalikuwa mwovu hatungalimleta kwako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Wakamjibu, “Kama huyu hangalikuwa mwovu hatungalimleta kwako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Wao wakamjibu, “Kama huyu mtu hakuwa mhalifu, tusingemleta kwako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Wao wakamjibu, “Kama huyu mtu hakuwa mhalifu tusingemleta kwako.” Tazama sura |