Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 18:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Bassi Pilato akawatokea nje akasema, Mashitaka gani mnayoleta juu ya mtu huyu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Kwa hiyo, Pilato aliwaendea nje, akasema, “Mna mashtaka gani juu ya mtu huyu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Kwa hiyo, Pilato aliwaendea nje, akasema, “Mna mashtaka gani juu ya mtu huyu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Kwa hiyo, Pilato aliwaendea nje, akasema, “Mna mashtaka gani juu ya mtu huyu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Hivyo Pilato akatoka nje walikokuwa, akawauliza, “Mmeleta mashtaka gani kumhusu mtu huyu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Hivyo Pilato akatoka nje walikokuwa akawauliza, “Mmeleta mashtaka gani kumhusu mtu huyu?”

Tazama sura Nakili




Yohana 18:29
9 Marejeleo ya Msalaba  

Liwali akasema, Kwani? ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, wakinena, Asulibiwe.


Wakajibu, wakamwambia, Kama huyu asingekuwa mtu mwovu, tusingemleta kwako.


Bassi Pilato akaingia Praitorio tena, akamwita Yesu, akamwambia, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi?


Nikawajibu kwamba sio desturi ya Warumi kumtoa mtu aliye yote auawe, kabla mtu yule aliyeshitakiwa hajaonana na washitaki wake uso kwa uso, na kupewa nafasi ya kujitetea katika mashitaka yake.


Maana ni kweli, Herode na Pontio Pilato pamoja na mataifa na watu wa Israeli, walikusanyika juu ya mtumishi wako mtakatifu Yesu, uliyemtia mafuta,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo