Yohana 18:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192126 Mmoja wa wale watumishi wa kuhani mkuu, ni jamaa yule aliyekatwa sikio na Petro, akasema, Mimi sikukuona bustanini pamoja nae? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Mmoja wa watumishi wa kuhani mkuu, jamaa wa yule aliyekatwa sikio na Petro, akamwuliza, “Je, mimi sikukuona wewe bustanini pamoja naye?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Mmoja wa watumishi wa kuhani mkuu, jamaa wa yule aliyekatwa sikio na Petro, akamwuliza, “Je, mimi sikukuona wewe bustanini pamoja naye?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Mmoja wa watumishi wa kuhani mkuu, jamaa wa yule aliyekatwa sikio na Petro, akamwuliza, “Je, mimi sikukuona wewe bustanini pamoja naye?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Mmoja wa watumishi wa kuhani mkuu, ndugu yake yule mtu ambaye Petro alikuwa amemkata sikio, akamuuliza, “Je, mimi sikukuona kule bustanini ukiwa na Isa?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Mmoja wa watumishi wa kuhani mkuu, ndugu yake yule mtu ambaye Petro alikuwa amemkata sikio, akamuuliza, “Je, mimi sikukuona kule bustanini ukiwa na Isa?” Tazama sura |