Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 18:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Na Simon alikuwa akisimama, anakola moto. Bassi wakamwambia, Wewe nawe je! huwi mmojawapo wa wanafunzi wake? Yeye akanena, Sio mimi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Petro alikuwa hapo akiota moto. Basi, wakamwuliza, “Je, nawe pia si mmoja wa wanafunzi wake?” Yeye akakana na kusema, “Si mimi!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Petro alikuwa hapo akiota moto. Basi, wakamwuliza, “Je, nawe pia si mmoja wa wanafunzi wake?” Yeye akakana na kusema, “Si mimi!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Petro alikuwa hapo akiota moto. Basi, wakamwuliza, “Je, nawe pia si mmoja wa wanafunzi wake?” Yeye akakana na kusema, “Si mimi!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Wakati huo Simoni Petro alikuwa amesimama akiota moto. Baadhi ya watu waliokuwepo wakamuuliza, “Je, wewe si mmoja wa wanafunzi wake?” Petro akakana, akasema, “Sio mimi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Wakati huo Simoni Petro alikuwa amesimama akiota moto. Baadhi ya wale waliokuwepo wakamuuliza, “Je, wewe si mmoja wa wanafunzi wake?” Petro akakana, akasema, “Sio mimi.”

Tazama sura Nakili




Yohana 18:25
13 Marejeleo ya Msalaba  

Na Petro alikuwa ameketi nje behewani: kijakazi kimoja akamwendea, akanena, Wewe nawe ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.


Na Petro alikuwa chini sebuleni, akaja mmoja wa vijakazi wa kuhani mkuu: akamwona Petro akikota moto;


Hatta walipowasha moto kati yasebule wakaketi pamoja, akaketi Petro kati yao.


Bassi, mjakazi mmoja akamwona ameketi mwangani, akamkazia macho akisema, Huyu nae alikuwa pamoja nae.


Akakana, akisema, Mwanamke, simjui.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo