Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 18:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Bassi Anna akampeleka amefungwa kwa Kayafa kuhani mkuu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Basi, Anasi akampeleka Yesu akiwa amefungwa, kwa kuhani mkuu Kayafa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Basi, Anasi akampeleka Yesu akiwa amefungwa, kwa kuhani mkuu Kayafa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Basi, Anasi akampeleka Yesu akiwa amefungwa, kwa kuhani mkuu Kayafa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Ndipo Anasi akampeleka Isa kwa kuhani mkuu Kayafa, akiwa bado amefungwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Ndipo Anasi akampeleka Isa kwa kuhani mkuu Kayafa, akiwa bado amefungwa.

Tazama sura Nakili

Yohana 18:24
4 Marejeleo ya Msalaba  

Nao waliomkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa kuhani mkuu, walipokuwapo waandishi na wazee wamekusanyika.

wakati wa ukuhani ukuu wa Anna na Kayafa, neno la Mungu likamfikia Yohana, mwana wa Zakaria, jangwani.

wakamchukua kwa Anna kwanza: maana alikuwa mkwewe Kayafa, yule aliyekuwa kuhani mkuu mwaka ule.

Simon Petro akamfuata Yesu, na mwanafunzi mwingine: na yule mwanafunzi alikuwa anajulika na kuhani mkuu: akaingia pamoja na Yesu behewani mwa kuhani mkuu; lakini Petro akasimama nje mlangoni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo