Yohana 18:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192123 Yesu akamjibu, Kama nimesema mabaya, yashuhudie yale mabaya; bali kama nimesema mema, wanipigia nini? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Yesu akamjibu, “Kama nimesema vibaya, onesha huo ubaya; lakini ikiwa nimesema vema, mbona wanipiga?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Yesu akamjibu, “Kama nimesema vibaya, onesha huo ubaya; lakini ikiwa nimesema vema, mbona wanipiga?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Yesu akamjibu, “Kama nimesema vibaya, onesha huo ubaya; lakini ikiwa nimesema vema, mbona wanipiga?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Isa akamjibu akasema, “Kama nimesema jambo baya, shuhudia huo ubaya niliousema. Lakini kama nimesema yaliyo kweli, mbona umenipiga?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Isa akamjibu akasema, “Kama nimesema jambo baya, shuhudia huo ubaya niliousema. Lakini kama nimesema yaliyo kweli, mbona umenipiga?” Tazama sura |