Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 18:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Aliposema maneno haya, mmoja wa wale watumishi aliyesimama karibu akampiga Yesu koli, akinena, Wamjibu hivi kuhani mkuu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Alipokwisha sema hayo mlinzi mmoja aliyekuwa amesimama hapo akampiga kofi akisema, “Je, ndivyo unavyomjibu kuhani mkuu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Alipokwisha sema hayo mlinzi mmoja aliyekuwa amesimama hapo akampiga kofi akisema, “Je, ndivyo unavyomjibu kuhani mkuu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Alipokwisha sema hayo mlinzi mmoja aliyekuwa amesimama hapo akampiga kofi akisema, “Je, ndivyo unavyomjibu kuhani mkuu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Alipomaliza kusema hayo, mmoja wa askari aliyekuwa amesimama karibu naye akampiga Isa kofi usoni. Kisha akasema, “Je, hivyo ndivyo unavyomjibu kuhani mkuu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Alipomaliza kusema hayo, mmoja wa askari aliyekuwa amesimama karibu naye, akampiga Isa kofi usoni, kisha akasema, “Je, hivyo ndivyo unavyomjibu kuhani mkuu?”

Tazama sura Nakili




Yohana 18:22
12 Marejeleo ya Msalaba  

Wengine wakaanza kumtemea mate, na kumfunika uso, na kumpiga konde, na kumwambia, Fanya unabii. Watumishi wakampiga makofi.


Ya nini kumuliza? waulize wale waliosikia, ni nini niliyosema nao: wao wanajua niliyowaambia.


Bassi Yuda akiisha kupokea kikosi cha askari, na watumishi waliotoka kwa makuhani wakuu na Mafarisayo, akaenda huko na makandili na taa za mkono na silaha.


wakisema, Salamu, Mfalme wa Wayahudi! wakimpiga makofi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo