Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 18:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Ya nini kumuliza? waulize wale waliosikia, ni nini niliyosema nao: wao wanajua niliyowaambia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Kwa nini waniuliza mimi? Waulize wale waliosikia nini niliwaambia. Wao wanajua niliyowaambia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Kwa nini waniuliza mimi? Waulize wale waliosikia nini niliwaambia. Wao wanajua niliyowaambia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Kwa nini waniuliza mimi? Waulize wale waliosikia nini niliwaambia. Wao wanajua niliyowaambia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Mbona unaniuliza mimi maswali? Waulize wale waliosikia yale niliyowaambia. Wanajua niliyoyasema.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Mbona unaniuliza mimi maswali? Waulize wale walionisikia yale niliyowaambia. Wao wanajua niliyosema.”

Tazama sura Nakili




Yohana 18:21
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kama wewe u Kristo, tuambie. Akawaambia, Nijapowaambieni, hamtaamini kabisa:


Yesu akamjibu, Mimi nimesema na ulimwengu kwa wazi; mimi siku zote nalifundisha katika masunagogi na katika hekalu, wakusanyikapo Wayahudi siku zote; wala kwa siri sikusema neno.


Aliposema maneno haya, mmoja wa wale watumishi aliyesimama karibu akampiga Yesu koli, akinena, Wamjibu hivi kuhani mkuu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo