Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 18:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Yuda nae, yule aliyetaka kumsaliti, alipajua mahali pale; kwa sababu Yesu alikwenda huko marra nyingi pamoja na wanafunzi wake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Yuda, aliyemsaliti Yesu, alipajua mahali hapo kwani mara nyingi Yesu alikutana na wanafunzi wake huko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Yuda, aliyemsaliti Yesu, alipajua mahali hapo kwani mara nyingi Yesu alikutana na wanafunzi wake huko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Yuda, aliyemsaliti Yesu, alipajua mahali hapo kwani mara nyingi Yesu alikutana na wanafunzi wake huko.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Basi Yuda, aliyemsaliti, alipafahamu mahali hapo, kwani Isa alikuwa akikutana humo na wanafunzi wake mara kwa mara.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Basi Yuda, yule aliyemsaliti alipafahamu mahali hapo kwani Isa alikuwa akikutana humo na wanafunzi wake mara kwa mara.

Tazama sura Nakili




Yohana 18:2
4 Marejeleo ya Msalaba  

Bwana, mrehemu mwana wangu, kwa kuwa hushikwa na kifafa, na kuteswa vibaya: maana marra nyingi huanguka motoni, na marra nyingi majini.


Bassi killa siku alikuwa akifundisha hekaluni wakati wa mchana; na wakati wa usiku akitoka, na kulala katika mlima uitwao mlima wa mizeituni.


Akatoka, akaenda zake hatta mlima wa mizeituni, kama ilivyo kawaida yake: wanafunzi wake wakamfuata.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo