Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 18:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Bassi kuhani mkuu akamwuliza Yesu khabari za wanafunzi wake, na khabari za mafundisho yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Basi, kuhani mkuu akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Basi, kuhani mkuu akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Basi, kuhani mkuu akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Wakati huo kuhani mkuu akawa anamuuliza Isa kuhusu wanafunzi wake na mafundisho yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Wakati huo kuhani mkuu akawa anamuuliza Isa kuhusu wanafunzi wake na mafundisho yake.

Tazama sura Nakili

Yohana 18:19
7 Marejeleo ya Msalaba  

Nao waliomkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa kuhani mkuu, walipokuwapo waandishi na wazee wamekusanyika.

Wakamchukua Yesu kwa mkubani mkuu; wakamkusanyikia wote, makhani wakuu na wazee na waandishi.

Wakamvizia wakatuma wapelelezi, nao wakajifanya kuwa wenye haki, illi wamnase kwa neno lake, kusudi wamtie katika enzi na mamlaka ya liwali.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo