Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 18:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Na wale watumishi na askari walikuwa wamesimama, wamefanya moto wa makaa; maana ilikuwa baridi, wakawa wakikota moto. Petro nae, alikuwa pamoja nao, anakota moto.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Watumishi na walinzi walikuwa wamewasha moto kwa sababu kulikuwa na baridi, wakawa wanaota moto. Naye Petro alikuwa amesimama pamoja nao akiota moto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Watumishi na walinzi walikuwa wamewasha moto kwa sababu kulikuwa na baridi, wakawa wanaota moto. Naye Petro alikuwa amesimama pamoja nao akiota moto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Watumishi na walinzi walikuwa wamewasha moto kwa sababu kulikuwa na baridi, wakawa wanaota moto. Naye Petro alikuwa amesimama pamoja nao akiota moto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Wale watumishi na askari walikuwa wamesimama wakiota moto wa makaa kwa sababu palikuwa na baridi, Petro naye alikuwa amesimama pamoja nao akiota moto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Wale watumishi na askari walikuwa wamesimama wakiota moto wa makaa kwa sababu palikuwa na baridi, Petro naye alikuwa amesimama pamoja nao akiota moto.

Tazama sura Nakili

Yohana 18:18
16 Marejeleo ya Msalaba  

Petro akamfuata mbali, hatta ndani katika behewa ya kuhani mkuu; akaketi pamoja na watumishi, anakota moto.

akamtazama, akasema, Wewe nawe ulikuwa pamoja na yule Mnazareti, Yesu.

Nae kwa kuwa alikuwa na huzuni sana, akazidi kuomba kwa bidii. Hari yake ikawa kama matone ya damu yakidondoka hatta inchi.

Na Simon alikuwa akisimama, anakola moto. Bassi wakamwambia, Wewe nawe je! huwi mmojawapo wa wanafunzi wake? Yeye akanena, Sio mimi.

Bassi Yuda akiisha kupokea kikosi cha askari, na watumishi waliotoka kwa makuhani wakuu na Mafarisayo, akaenda huko na makandili na taa za mkono na silaha.

Bassi waliposhuka pwani, wakaona moto wa makaa huko, na kitoweo kimetiwa juu yake, na mkate.

Hatta walipofunguliwa, wakaenda kwa watu wao, wakawapasha khabari ya mambo yote waliyoambiwa na makuhani wakuu na wazee.

Msidanganyike: mazumgumzo mabaya huharibu tabia njema.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo