Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 18:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Bassi yule kijakazi aliye mngoje mlango akamwambia Petro, Wewe nawe, je! huwi mmojawapo wa wanafunzi wake mtu huyu? Yeye akasema, Si mimi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Huyo mjakazi mngojamlango akamwuliza Petro, “Je, nawe pia ni mmoja wa wanafunzi wa mtu huyu?” Petro akamwambia, “Si mimi!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Huyo mjakazi mngojamlango akamwuliza Petro, “Je, nawe pia ni mmoja wa wanafunzi wa mtu huyu?” Petro akamwambia, “Si mimi!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Huyo mjakazi mngojamlango akamwuliza Petro, “Je, nawe pia ni mmoja wa wanafunzi wa mtu huyu?” Petro akamwambia, “Si mimi!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Yule msichana akamuuliza Petro, “Je, wewe pia si mmoja wa wanafunzi wa mtu huyu?” Petro akajibu, “Sio mimi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Yule msichana akamuuliza Petro, “Je, wewe pia si mmoja wa wanafunzi wa mtu huyu?” Petro akajibu, “Sio mimi.”

Tazama sura Nakili

Yohana 18:17
11 Marejeleo ya Msalaba  

Petro akajibu, akamwambia, Wajapochukizwa wote kwa ajili yako, mimi sitachukizwa kabisa.

Wakamkamata, wakamchukua, wakamleta nyumbani kwa kuhani mkuu; na Petro akafuata mbali.

Bassi yule mwanafunzi mwingine aliyejulika na kuhani mkuu akatoka akasema na mwanamke aliye mngoje mlango, akamleta Petro ndani.

Na Simon alikuwa akisimama, anakola moto. Bassi wakamwambia, Wewe nawe je! huwi mmojawapo wa wanafunzi wake? Yeye akanena, Sio mimi.

Yesu akawaambia, Mimi ndiye. Yuda nae aliyemsaiiti alikuwa akisimama pamoja nao.

Yesu akajibu, Nimekwisha kuwaambieni kwaniba mimi ndiye; bassi mkinitafuta mimi, waacheni hawa waende zao;

Bassi walipokwisha kula, Yesu akamwambia Simon Petro, Simon wa Yohana, wanipenda kuliko bawa? Akamwambia, Naam, Bwana; wewe wajua ya kuwa nakupenda. Akamwambia, Lisha wana kondoo wangu.

Na Petro alipobisha kilango cha lango, kijakazi, jina lake Rhoda, akaja kusikiliza.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo