Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 18:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Bassi yule mwanafunzi mwingine aliyejulika na kuhani mkuu akatoka akasema na mwanamke aliye mngoje mlango, akamleta Petro ndani.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Lakini Petro alikuwa amesimama nje, karibu na mlango. Basi, huyo mwanafunzi mwingine aliyekuwa anajulikana kwa kuhani mkuu alitoka nje akasema na mjakazi, mngojamlango, akamwingiza Petro ndani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Lakini Petro alikuwa amesimama nje, karibu na mlango. Basi, huyo mwanafunzi mwingine aliyekuwa anajulikana kwa kuhani mkuu alitoka nje akasema na mjakazi, mngojamlango, akamwingiza Petro ndani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Lakini Petro alikuwa amesimama nje, karibu na mlango. Basi, huyo mwanafunzi mwingine aliyekuwa anajulikana kwa kuhani mkuu alitoka nje akasema na mjakazi, mngojamlango, akamwingiza Petro ndani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Lakini Petro alisimama nje karibu na lango. Ndipo yule mwanafunzi mwingine, aliyejulikana na kuhani mkuu, akazungumza na msichana aliyekuwa analinda lango, akamruhusu Petro aingie ndani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Lakini Petro alisimama nje karibu na lango, ndipo yule mwanafunzi mwingine, aliyejulikana na kuhani mkuu, akazungumza na msichana aliyekuwa analinda lango, akamruhusu Petro aingie ndani.

Tazama sura Nakili

Yohana 18:16
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na Petro alikuwa ameketi nje behewani: kijakazi kimoja akamwendea, akanena, Wewe nawe ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.

Bassi wakati wa siku kuu liwali desturi yake huwafungulia makutano mfungwa mmoja waliyemtaka.

Bassi katika siku kuu huwafungulia mfungwa mmoja, wamtakae.

Wakapiga kelele wote pamoja, wakisema, Mchukue huyu, tufungulie Barabba.

Na Petro alipobisha kilango cha lango, kijakazi, jina lake Rhoda, akaja kusikiliza.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo