Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 18:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Na Kayafa ndiye aliyewapa Wayahudi shauri kwamba yafaa mtu mmoja afe kwa ajili ya watu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Huyo Kayafa ndiye aliyekuwa amewashauri Wayahudi kwamba ni afadhali mtu mmoja afe kwa ajili ya watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Huyo Kayafa ndiye aliyekuwa amewashauri Wayahudi kwamba ni afadhali mtu mmoja afe kwa ajili ya watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Huyo Kayafa ndiye aliyekuwa amewashauri Wayahudi kwamba ni afadhali mtu mmoja afe kwa ajili ya watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Kayafa ndiye alikuwa amewashauri viongozi wa Wayahudi kwamba imempasa mtu mmoja kufa kwa ajili ya watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kayafa ndiye alikuwa amewashauri Wayahudi kwamba imempasa mtu mmoja kufa kwa ajili ya watu.

Tazama sura Nakili




Yohana 18:14
4 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo makubani wakuu, na waandishi, na wazee wa watu wakakusanyika katika behewa ya kuhani mkuu aliyeitwa Kayafa;


Na kwa sababu bandari haikukaa vema, watu wakae ndani yake wakati wa haridi, walio wengi wakatoa shauri tutweke tukatoke huko illi wapate kufika Foiniki, kama ikiwezekana, na kukaa huko wakati wa baridi: nayo ni bandari ya Krete, inaelekea kaskazini-mashariki na kusini-mashariki.


Na wakati mwingi ulipokwisha kupita, na safari ikiwa ina khatari sasa kwa sababu siku za kufunga zilikuwa zimekwisha kupita, Paolo akawaonya, akawaambia,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo