Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 18:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Bassi kile kikosi na yule jemadari na wale watumishi wa Wayahudi wakamkamata Yesu, wakanifunga,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Kile kikosi cha askari, mkuu wake na walinzi wa Wayahudi walimkamata Yesu, wakamfunga

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Kile kikosi cha askari, mkuu wake na walinzi wa Wayahudi walimkamata Yesu, wakamfunga

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Kile kikosi cha askari, mkuu wake na walinzi wa Wayahudi walimkamata Yesu, wakamfunga

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Hivyo wale askari, wakiwa na jemadari wao na maafisa wa Wayahudi, wakamkamata Isa na kumfunga.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Hivyo wale askari, wakiwa pamoja na majemadari wao na maafisa wa Wayahudi, wakamkamata Isa na kumfunga.

Tazama sura Nakili




Yohana 18:12
17 Marejeleo ya Msalaba  

Nao waliomkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa kuhani mkuu, walipokuwapo waandishi na wazee wamekusanyika.


wakamfunga, wakamchukua, wakampeleka kwa liwali Pontio Pilato.


Ndipo askari wa liwali wakamchukua Yesu ndani ya praitorio, wakamkusanyia kikosi kizima.


Wakamchukua Yesu kwa mkubani mkuu; wakamkusanyikia wote, makhani wakuu na wazee na waandishi.


MARRA ilipokuwa assubuhi makuhani wakuu wakafanya shauri pamoja na wazee na waandishi na haraza zima, wakamfunga Yesu, wakamchukua, wakamleta kwa Pilato.


Wakamkamata, wakamchukua, wakamleta nyumbani kwa kuhani mkuu; na Petro akafuata mbali.


Bassi Yuda akiisha kupokea kikosi cha askari, na watumishi waliotoka kwa makuhani wakuu na Mafarisayo, akaenda huko na makandili na taa za mkono na silaha.


PALIKUWA na mtu Kaisaria, jina lake Kornelio, akida wa kikosi kilichoitwa Kiitaliano,


Na walipokuwa wakitafuta njia ya kumwua, khabari zikamfikilia jemadari wa kikosi ya kwamba mji Yerusalemi umechafuka, mji mzima.


Na Paolo alipokuwa anaingizwa ndani ya ngome, akamwambia jemadari, Nina rukhusa nikuambie neno? Nae akasema, Je! unajua Kiyunani?


Ugomvi mkubwa ulipotokea, yule jemadari akachelea Paolo asije akararuliwa nao, akaamuru askari washuke na kumpokonya mikononi mwao, na kumleta ndani ya ngome.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo