Yohana 18:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 Bassi Simon Petro alikuwa na upanga, akaufuta, akampiga mtumishi wa kuhani mkuu akamkata sikio lake la kuume. Na yule mtumishi jina lake alikwitwa Malko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Simoni Petro alikuwa na upanga; basi, akauchomoa, akamkata sikio la kulia mtumishi wa kuhani mkuu. Mtumishi huyo aliitwa Malko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Simoni Petro alikuwa na upanga; basi, akauchomoa, akamkata sikio la kulia mtumishi wa kuhani mkuu. Mtumishi huyo aliitwa Malko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Simoni Petro alikuwa na upanga; basi, akauchomoa, akamkata sikio la kulia mtumishi wa kuhani mkuu. Mtumishi huyo aliitwa Malko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Simoni Petro, aliyekuwa na upanga, akaufuta na kumkata sikio la kuume mtumishi wa kuhani mkuu. (Mtumishi huyo aliitwa Malko.) Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Simoni Petro, aliyekuwa na upanga, akaufuta na kumkata sikio la kuume mtumishi wa kuhani mkuu. Jina la mtumishi huyo aliitwa Malko. Tazama sura |