Yohana 18:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19211 ALIPOKWISHA kusema haya, Yesu akatoka pamoja na wanafunzi wake kwenda ngʼambu ya kijiti Kedron, palipo bustani; akaingia, yeye na wanafunzi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Yesu alipokwisha sema hayo, alikwenda ngambo ya kijito Kedroni, pamoja na wanafunzi wake. Mahali hapo palikuwa na bustani, naye Yesu akaingia humo pamoja na wanafunzi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Yesu alipokwisha sema hayo, alikwenda ngambo ya kijito Kedroni, pamoja na wanafunzi wake. Mahali hapo palikuwa na bustani, naye Yesu akaingia humo pamoja na wanafunzi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Yesu alipokwisha sema hayo, alikwenda ng'ambo ya kijito Kedroni, pamoja na wanafunzi wake. Mahali hapo palikuwa na bustani, naye Yesu akaingia humo pamoja na wanafunzi wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Isa alipomaliza kuomba, akaondoka na wanafunzi wake, wakavuka Bonde la Kidroni. Upande wa pili palikuwa na bustani; yeye na wanafunzi wake wakaingia humo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Isa alipomaliza kuomba, akaondoka na wanafunzi wake wakavuka Bonde la Kidroni. Upande wa pili palikuwa na bustani, yeye na wanafunzi wake wakaingia humo. Tazama sura |