Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 17:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Wala si hao tu ninaowaombea, bali na wao walakaoniammi kwa sababu ya neno lao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 “Siwaombei hao tu, bali nawaombea pia wote watakaoamini kutokana na ujumbe wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 “Siwaombei hao tu, bali nawaombea pia wote watakaoamini kutokana na ujumbe wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 “Siwaombei hao tu, bali nawaombea pia wote watakaoamini kutokana na ujumbe wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 “Siwaombei hawa peke yao, bali nawaombea na wale wote watakaoniamini kupitia neno lao,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 “Siwaombei hawa peke yao, bali nawaombea na wale wote watakaoniamini kupitia neno lao

Tazama sura Nakili




Yohana 17:20
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na kondoo wengine ninao, wasio wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta, na sauti yangu wataisikia; na kutakuwapo kundi moja na mchunga mmoja.


Na kwa ajili yao najitakasa, illi na hawa watakaswe katika kweli.


Wote wawe umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, na mimi ndani yako, illi na hawa wawe umoja ndani yetu: ulimwengu upate kuamini kwamba ndiwe uliyenituma.


Nao waliolipokea neno lake kwa furaha wakabatizwa: na siku ile wakazidishiwa watu wapata elfu tatu.


Lakini wengi katika hao waliosikia lile neno waliamini: na hesabu ya watu ilikuwa kama elfu tano.


ikadhihirishwa wakati huu kwa maandiko ya manabii, ikajulika na mataifa yote kama alivyoamuru Mungu wa milele, illi waitii imani;


Na yeye aliwatoa wengine kuwa mitume; na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti, na wengine kuwa wachungaji, na waalimu,


kwa Timotheo mwanangu mpendwa; Neema, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo