Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 17:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Uwatakase kwa kweli; neno lako ndio kweli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Waweke wakfu katika ukweli; neno lako ni ukweli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Waweke wakfu katika ukweli; neno lako ni ukweli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Waweke wakfu katika ukweli; neno lako ni ukweli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndilo kweli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Uwatakase kwa ile kweli, neno lako ndilo kweli.

Tazama sura Nakili




Yohana 17:17
23 Marejeleo ya Msalaba  

Na mfano ndio huu: Mbegu ni neno la Mungu.


Nazo penye udongo mwema, hawa ndio ambao kwamba kwa moyo mzuri na mwema hulisikia neno, wakalishika, wakazaa kwa saburi.


Ninyi mmekwisba kuwa safi kwa sababu ya neno nililowaambia.


Na kwa ajili yao najitakasa, illi na hawa watakaswe katika kweli.


tena mtaifahamu kweli, nayo kweli itawaweka huru.


Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu niliyewaambia kweli ile niliyoisikia kwa Baba yangu. Ibrahimu hakufanya hivi. Ninyi nmazitenda kazi za baba yenu.


wala hakufanya tofauti kati yetu sisi na wao, akiwasafisha mioyo yao kwa imani.


Lakini sisi sote, kwa uso usiotiwa utaji, tukiuangalia utukufu wa Bwana, kama vile katika kioo, tunabadilishwa na kufananishwa na mfano huo huo, toka utukufu hatta utukufu, kama vile kwa utukufu utokao kwa Bwana aliye Roho.


mkiwa mwalimsikia mkafundishwa katika yeye, kama ilivyo kweli katika Yesu;


kusudi alitakase na kulisafisha kwa maji, na kwa Neno;


Lakini imetupasa sisi kumshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu, ndugu, mliopendwa na Bwana, kwa kuwa Mungu amewachagua tangu mwanzo mpate wokofu, katika kutakaswa kwa Roho na kuiamini kweli,


Kwa hiyo wekeeni mbali uchafu wote na ubaya uzidio, kapokeeni kwa upole neno lililopandwa, liwezalo kuokoa roho zenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo