Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 17:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Mimi nimewapa neno lako; na ulimwengu uliwachukia, kwa kuwa wao si watu wa ulimwengu, kama mimi nisivyo wa ulimwengu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Mimi nimewapa ujumbe wako, nao ulimwengu ukawachukia, kwa sababu wao si wa ulimwengu, kama vile nami nisivyo wa ulimwengu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Mimi nimewapa ujumbe wako, nao ulimwengu ukawachukia, kwa sababu wao si wa ulimwengu, kama vile nami nisivyo wa ulimwengu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Mimi nimewapa ujumbe wako, nao ulimwengu ukawachukia, kwa sababu wao si wa ulimwengu, kama vile nami nisivyo wa ulimwengu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Nimewapa neno lako, nao ulimwengu umewachukia, kwa kuwa wao si wa ulimwengu kama mimi nisivyo wa ulimwengu huu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Nimewapa neno lako, nao ulimwengu umewachukia kwa kuwa wao si wa ulimwengu kama mimi nisivyo wa ulimwengu huu.

Tazama sura Nakili




Yohana 17:14
15 Marejeleo ya Msalaba  

Wakamwambia, Twaweza. Yesu akawaambia, Kikombe ninyweacho mimi mtakinywea, na ubatizo nibatizwao mimi mtabatizwa:


Wao si wa ulimwengu, kama mimi nisiyvo wa ulimwengu.


kwa kuwa maneno uliyonipa nimewapa wao; wakavapokea, wakajua hakika ya kuwa nalitoka kwako, wakaamini ya kwamba ndiwe uliyenituma.


Ulimwengu hauwezi kuwachukia ninyi: bali hunichukia mimi, kwa sababu mimi naushuhudia ya kuwa kazi zake ni mbovu.


Akawaambia, Ninyi wa chini, mimi wa juu; ninyi wa ulimwengu huu, mimi si wa ulimwengu huu.


si kama Kain alivyokuwa wa yule Mwovu, akamwua ndugu yake. Nae alimwua kwa sababu gani? Kwa sababu matendo yake yalikuwa mabaya, na ya ndugu yake ya haki.


Msistaajabu, ndugu, ulimwengu ukiwachukia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo