Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 17:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Na yote yaliyo yangu ni yako, na yaliyo yako ni yangu: nami nimetukuzwa ndani yao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Yote niliyo nayo ni yako, na yako ni yangu; na utukufu wangu umeonekana katika hao ulionipa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Yote niliyo nayo ni yako, na yako ni yangu; na utukufu wangu umeonekana katika hao ulionipa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Yote niliyo nayo ni yako, na yako ni yangu; na utukufu wangu umeonekana katika hao ulionipa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Wote walio wangu ni wako, na walio wako ni wangu, nami nimetukuzwa ndani yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Wote walio wangu ni wako na walio wako ni wangu, nami nimetukuzwa ndani yao.

Tazama sura Nakili




Yohana 17:10
16 Marejeleo ya Msalaba  

Mimi na Baba yangu tu nmoja.


Yesu aliposikia, alisema, Ugonjwa huu si wa mauti, bali kwa ajili ya utukufu wake Mungu, illi Mwana wa Mungu atukuzwe kwa huo.


Yesu akajibu, akinena, Saa imefika, atukuzwe Mwana wa Adamu.


illi wote wamheshimu Mwana kama wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana, hamheshimu Baba aliyempeleka.


Khabari hii ikajulikana na Wayahudi wote na Wayunani waliokaa Efeso, khofu ikawaingia wote, jina la Bwana Yesu likaadhimishwa.


Wakamtukuza Mungu kwa ajili yangu.


kama nilivyotazamia sana, na kutumaini, kwamba sitaaibika kabisa, bali kwa nthabiti wote, kama siku zote, na sasa tena Kristo atatukuzwa katika mwili wangu, ikiwa kwa maisha yangu, au kwa mauti yangu.


Maana katika yeye unakaa utimilifu wote wa Mungu, kwa namna ya kimwili.


atakapokuja illi kutukuzwa katika watakatifu wake, na kuajabiwa katika wote waaminio (kwa sababu ushuhuda wetu ulisadikiwa kwenu), katika siku ile.


jina la Bwana wetu Yesu litukuzwe kwenu, na ninyi ndani yake, kwa neema ya Mungu wetu na ya Bwana Yesu Kristo.


Bali ninyi m mzao mteule, ukubani wa kifaume, taifa takatifu, watu wa milki, mpate kutangaza fadhili zake aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo