Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 17:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 MANENO hayo aliyasema Yesu: akainua macho yake kuelekea mbinguni, akanena, Baba, saa ile imekuja. Mtukuze Mwana wako, illi Mwana wako nae akutukuze wewe;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Yesu alipokwisha sema hayo, alitazama juu mbinguni, akasema, “Baba, ile saa imefika! Mtukuze Mwanao ili naye Mwana apate kukutukuza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Yesu alipokwisha sema hayo, alitazama juu mbinguni, akasema, “Baba, ile saa imefika! Mtukuze Mwanao ili naye Mwana apate kukutukuza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Yesu alipokwisha sema hayo, alitazama juu mbinguni, akasema, “Baba, ile saa imefika! Mtukuze Mwanao ili naye Mwana apate kukutukuza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Baada ya Isa kusema haya, alitazama kuelekea mbinguni akawaombea na kusema: “Baba, saa imewadia. Mtukuze Mwanao, ili Mwanao apate kukutukuza wewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Baada ya Isa kusema haya, alitazama kuelekea mbinguni akawaombea na kusema: “Baba, saa imewadia. Umtukuze Mwanao, ili Mwanao apate kukutukuza wewe.

Tazama sura Nakili




Yohana 17:1
20 Marejeleo ya Msalaba  

Akaja marra ya tatu, akawaambia, Laleni sasa, hatta mwisho, kapumzikeni: yatosha, saa imekuja; Mwana wa Adamu anatiwa mikononi mwao wenye dhambi.


Na yule mtoza ushuru akasimama mbali, asitake hatta kuinua macho yake mbinguni; hali akajipigapiga kifua, akisema, Mungu, uniwie radhi mimi mwenye dhambi.


Killa siku nilipokuwa pamoja nanyi hekaluni hamkuninyoshea mikono; lakini saa yenu hii, na mamlaka ya giza.


Yesu aliposikia, alisema, Ugonjwa huu si wa mauti, bali kwa ajili ya utukufu wake Mungu, illi Mwana wa Mungu atukuzwe kwa huo.


Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.


Yesu akajibu, akinena, Saa imefika, atukuzwe Mwana wa Adamu.


HATTA kabla ya siku kuu ya Pasaka, Yesu akijua ya kuwa saa yake imefika atakayotoka katika ulimwengu huu kwenda kwa Baba, akiwa aliwapenda watu wake katika ulimwengu, aliwapeuda ukomo wa upendo.


Saa inakuja, naam, imekwisha kuja, mtatawanyika killa mmoja kwa mambo yake, mtaniacha mimi peke yangu; wala mimi si peke yangu, kwa kuwa Baba yupo pamoja nami.


Bassi wakatafuta kumkamata: lakini hapana aliyenyosha mkono wake illi kumshika kwa sababu saa yake ilikuwa haijaja bado.


Neno hili alilisema katika khabari ya Roho, ambae wale wamwaminio watampokea khalafu: kwa maana Roho Mtakatifu alikuwa bado kuwapo, kwa sababu Yesu alikuwa bado kutukuzwa.


Maneno haya aliyasema Yesu akifundisha kakika hekalu, katika chumba cha hazina; wala hapana mtu aliyemkamata, kwa kuwa saa yake ilikuwa haijaja bado.


Mungu wa Ibrahimu na Isaak na Yakobo, Mungu wa baba zetu, amemtukuza mtumishi wake Yesu, ambae ninyi mlimsaliti na kumkana mbele ya Pilato, alipokuwa ametoa hukumu yake afunguliwe.


ambae kwa yeye mlimwamini Mungu, aliyemfufua akampa utukufu; hatta imani yenu na tumaini lenu liwe kwa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo