Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 16:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Mpaka leo hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, na mtapata, furaha yenu iwe timilifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Mpaka sasa hamjaomba chochote kwa jina langu. Ombeni nanyi mtapata ili furaha yenu ikamilike.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Mpaka sasa hamjaomba chochote kwa jina langu. Ombeni nanyi mtapata ili furaha yenu ikamilike.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Mpaka sasa hamjaomba chochote kwa jina langu. Ombeni nanyi mtapata ili furaha yenu ikamilike.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Hadi sasa hamjaomba jambo lolote kwa Jina langu. Ombeni nanyi mtapewa, ili furaha yenu ipate kuwa kamili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Mpaka sasa hamjaomba jambo lolote kwa Jina langu. Ombeni nanyi mtapewa, ili furaha yenu ipate kuwa kamili.

Tazama sura Nakili




Yohana 16:24
17 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi ninyi salini hivi; Baba yetu nliye mbinguni, jina lako takatifu litukuzwe,


MSIFADHAIKE mioyo yenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi.


Mkiomba neno kwa jina langu, hili nitalifanya.


Haya nimewaambieni, illi furaha yangu iwe ndani yenu, na furaha yenu itimizwe.


Na siku ile hamtaniuliza neno. Amin, amin, nawaambieni, Mkimwomba Baba neno kwa jina langu atawapeni.


Aliye nae bibi arusi ndiye bwana arusi; lakini rafiki yake bwana arusi anaesimama na kumsikia, aifurahia sana sauti yake bwana arusi: bassi hii furaha yangu imetimia.


Neema iwe kwenu na imani zitokazo kwa Mungu Baba yetu, na Bwana Yesu Kristo.


Kwa kuwa nina maneno mengi ya kuwa-andikia, sitaki kuyaandika kwa karatasi na wino; lakini nataraja kuja kwenu, na kusema nanyi mdo-mo kwa mdomo, illi furaha yenu itimizwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo