Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 16:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Na siku ile hamtaniuliza neno. Amin, amin, nawaambieni, Mkimwomba Baba neno kwa jina langu atawapeni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Siku hiyo hamtaniomba chochote. Kweli nawaambieni, chochote mtakachomwomba Baba kwa jina langu, atawapeni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Siku hiyo hamtaniomba chochote. Kweli nawaambieni, chochote mtakachomwomba Baba kwa jina langu, atawapeni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Siku hiyo hamtaniomba chochote. Kweli nawaambieni, chochote mtakachomwomba Baba kwa jina langu, atawapeni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Katika siku hiyo hamtaniuliza neno lolote. Amin, amin nawaambia, mkimwomba Baba jambo lolote kwa jina langu, yeye atawapa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Katika siku hiyo hamtaniuliza neno lolote. Amin, amin nawaambia, kama mkimwomba Baba jambo lolote kwa jina langu, yeye atawapa.

Tazama sura Nakili




Yohana 16:23
22 Marejeleo ya Msalaba  

Na yo yote mtakayoyaomba katika kusali, mkiamini, mtapokea.


Ombeni na mtapewa; tafuteni na mtaona; bisheni na mtafunguliwa:


Katika siku ile mtajua ninyi, ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu, na ninyi ndani yangu, na mimi ndani yenu.


Yuda akamwambia (siye Iskariote), Bwana, imekuwaje, ya kwamba wataka kujidhihirisha kwetu, wala si kwa ulimwengu?


Tomaso akamwambia, Bwana, hatujui uendako; twaijuaje njia?


Mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, mtaomba killa mtakalo, na mtafanyiziwa.


Yesu alifahamu ya kwamba walitaka kumwuliza akawaambia, Hili ndilo mnalotafuta ninyi kwa ninyi, ya kuwa nalisema, Bado kitambo nanyi hamnioni, na bado kitambo na mtaniona?


Katika siku ile mtaomba kwa jina langu; wala siwaambii ya kwamba mimi nitawaombea Baba;


Sasa tumejua ya kuwa unajua yote, wala huhitaji mtu akuulize; kwa hiyo twaamini ya kwamba ulitoka kwa Mungu.


Maana kwa yeye sisi sote tumepata njia ya kumkaribia Mungu Baba katika Roho mmoja.


WATOTO wangu wadogo, nawaandikia haya illi msitende dhambi. Na ijapo mtu akatenda dhambi tuna Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo