Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 16:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Bassi baadhi ya wanafunzi wake walisemezana, Neno gani hili analosema, Bado kitambo nanyi hamnioni, na tena bado kitambo na mtaniona? na, Kwa sababu nakwenda zangu kwa Baba?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Hapo baadhi ya wanafunzi wake wakaulizana, “Ana maana gani anapotuambia: ‘Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona; na baada ya kitambo kidogo tena mtaniona?’ Tena anasema: ‘Kwa kuwa ninakwenda kwa Baba!’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Hapo baadhi ya wanafunzi wake wakaulizana, “Ana maana gani anapotuambia: ‘Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona; na baada ya kitambo kidogo tena mtaniona?’ Tena anasema: ‘Kwa kuwa ninakwenda kwa Baba!’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Hapo baadhi ya wanafunzi wake wakaulizana, “Ana maana gani anapotuambia: ‘Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona; na baada ya kitambo kidogo tena mtaniona?’ Tena anasema: ‘Kwa kuwa ninakwenda kwa Baba!’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Baadhi ya wanafunzi wakaulizana, “Ana maana gani asemapo, ‘Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona, na tena bado kitambo kidogo nanyi mtaniona’? Naye ana maana gani asemapo, ‘Kwa sababu ninaenda kwa Baba’?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Baadhi ya wanafunzi wakaulizana, “Ana maana gani asemapo, ‘Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona na tena bado kitambo kidogo nanyi mtaniona?’ Naye ana maana gani asemapo, ‘Kwa sababu ninakwenda kwa Baba?’ ”

Tazama sura Nakili




Yohana 16:17
12 Marejeleo ya Msalaba  

Wakalishika neno lile, wakiulizana wao kwa wao, Huku kufufuka katika wafu maana yake nini?


Nao hawakulifahamu neno lile, wakaogopa kumwuliza.


Nao hawakufahamu haya hatta kidogo, neno hili likawa limefichwa kwao, wala hawakuyajua yaliyonenwa.


Lakini hawakulifuhamu neno lile, likawa limefichwa kwao wasipate kulitambua. Wakaogopa kumwuliza maana ya neno lile.


Mambo haya wanafunzi wake hawakuyafahamu hapo kwanza; lakini Yesu alipotukuzwa, ndipo walikumbuka ya kwamba ameandikiwa haya na ya kwamba walimtendea haya.


Yuda akamwambia (siye Iskariote), Bwana, imekuwaje, ya kwamba wataka kujidhihirisha kwetu, wala si kwa ulimwengu?


Tomaso akamwambia, Bwana, hatujui uendako; twaijuaje njia?


MANENO haya nimewaambieni msije mkachukizwa.


Bado kitambo, nanyi hamnioni tena; na bado tena kitambo, na mtaniona. Kwa sababu nakwenda zangu kwa Baba.


Bassi walisema. Neno gani hili analosema, hili Bado kitambo? Hatujui asemalo.


Yesu alifahamu ya kwamba walitaka kumwuliza akawaambia, Hili ndilo mnalotafuta ninyi kwa ninyi, ya kuwa nalisema, Bado kitambo nanyi hamnioni, na bado kitambo na mtaniona?


Lakini sasa nakwenda zangu kwake aliyenipeleka, wala hakuna mmoja wenu aniulizae, Unakwenda zako wapi?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo