Yohana 16:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192111 kwa khabari ya hukumu, kwa sababu mkuu wa ulimwengu huu amehukumiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 kuhusu hukumu, kwa sababu mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 kuhusu hukumu, kwa sababu mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 kuhusu hukumu, kwa sababu mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa. Tazama sura |