Yohana 15:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19219 Kama Baba alivyonipenda mimi, nami nimewapenda ninyi; kaeni katika pendo langu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mimi nimewapenda nyinyi kama vile Baba alivyonipenda mimi. Kaeni katika pendo langu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mimi nimewapenda nyinyi kama vile Baba alivyonipenda mimi. Kaeni katika pendo langu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mimi nimewapenda nyinyi kama vile Baba alivyonipenda mimi. Kaeni katika pendo langu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 “Kama vile Baba alivyonipenda mimi, hivyo ndivyo mimi nilivyowapenda ninyi. Basi kaeni katika pendo langu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 “Kama vile Baba alivyonipenda mimi, hivyo ndivyo mimi nilivyowapenda ninyi. Basi kaeni katika pendo langu. Tazama sura |