Yohana 14:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Filipo akamwambia, Bwana, tuonyeshe Baba, yatutosha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Filipo akamwambia, “Bwana, tuoneshe Baba, nasi tutatosheka.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Filipo akamwambia, “Bwana, tuoneshe Baba, nasi tutatosheka.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Filipo akamwambia, “Bwana, tuoneshe Baba, nasi tutatosheka.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Filipo akamwambia, “Bwana, tuoneshe Baba, na hiyo itatutosha.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Filipo akamwambia, “Bwana, tuonyeshe Baba yako yatosha.” Tazama sura |